Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Ushauri kwa Mhenga huo,

Mwanamke aliyejiunga JF anajifunza vitu vingi sanaa, vizuri na viovu....

Ni kweli kwamba, Kutumia muda mwingi kwenye Social media ni kiashiria cha kukosa majukumu (unaweza ukawa na kazi lkn usiwe na majukumu ya kutekeleza)......

Kutafuta mchumba kwenye Social media, itokee tu by chance na sio kuwa serious kuwa unatafuta mchumba....

Wazee, wanawake mnaoishi nao huko mtaani ndio hawahawa waliopo kwenye Social media.
Ni kweli kwa asilimia kubwa uandishi wa mtu waweza mtafsiri alivyoo.....

Mimi sitaki kujua habari za sura na maumbile ya mtu, mana hizo ni mtazamo wa mtu.

Nazungumzia tabiaa, uki messup hapa ndo umeharibu kila kituu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hao mashoga ulikuwa unawatafutaje? Nawe ulijifanya shoga au?
 
Hongera kwa kuwa mkweli, ukweli unakuweka huru
Ni ukweli mkuu japo katuongelea sisi tu. Huku tupo binadamu na kila mtu Ana tabia zake hivyo alichokisema kina ukweli sababu hao watu hata mtaani wapo.
Sema kanipa mawazo mimi sijui ndo niko kundi lipi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Best njoo niungishe vitenge

Nakukubali pia Cresida
 

Wewe kuna sehemu nilishagakuona unaongelea mambo ya taxation, sijui inflation, na manini yale sijui mengine.

Nikajisemea kimoyomoyo....kumbe baby mama si haba!
 
Wewe kuna sehemu nilishagakuona unaongelea mambo ya taxation, sijui inflation, na manini yale sijui mengine.

Nikajisemea kimoyomoyo....kumbe baby mama si haba!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukasema kumbe baby mama kuna saa akili inachaji sema anajitoaga ufahamu tu.
Mimi all weather yani kokote nikikuta mada narara nayo mbere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Utaharibu kama una malengo ya kutafuta mtu
Ila siyo kila aliyeko ntandaoni anatafuta mwenza

Wengine wapo kupoteza muda
 
''Kila unayekutana naye ana jambo la kukufunza"

Niliona mtu kaandika haya maneno kwenye status ya WhatsApp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…