Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

So at one point kulikua na thread kama hii na ndiyo naiona muda huu.

Gotta keep up.
 
NMEAMIANI ALICHOSEMA MLETA UZI. Kuna makahaba toka jana yanazunguka zunguka humu kujikosha na kujisafisha. Yameacha kulea au sijui hayana kazi. Yanacheka cheka na kusupportiana kwa namna mbalimbali

Mwanaume FISI AKIJA KWA AKILI NDOGO TU KWENYE HUU UZI ATAONDOKA NA MIZOGA MINGI. imo inazunguka zunguka tu kutafuta mabwana. Halafu mnakuja kulalamika hakuna waoaji siku hizi. Utaolewaje huna hata heshima na sisi waoaji tunataka mwanamke anayejiheshimu?

Mimi kwenye huu uzi nimeunganisha dots. Wahusika kwa asilimia 95 bado wamo humu humu kwenye uzi wanazunguka zunguka huku nao wakizungukwa na inzi.

Yeye mtoa mada ameendelea na maisha yake.katuachia sisi mafisi 😂😂😂 (sometime) na mizoga yetu imo humu humu. Wanawake wenye akili wamejibu mara moja then wamekuwa busy na maisha yao.
 

Unahangaika sana kama hao wanaohangaika hapo
Wao wanajulikana ni wadangaji!


Na wewe mwenzetu unatafuta nini kama hautafuti bwana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na wanaume mannzi yapo humu kusoma huu uzi mafisi watupu hapa jamiiforum[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri ni kwamba wadangaji wa humu mabwana zao wako humu humu.
Utakuta hata Yule wako unaemuona msafi yupo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too general mkuu.
Ninachoamini, JF "viazi wapo", lakini naamini FB " viazi ni wengi zaidi".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…