Niset vipi YouTube isijizime nkitoka kwenye screen?

Niset vipi YouTube isijizime nkitoka kwenye screen?

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Wakuu,

Youtube ukitoka kwenye kurasa huwa inajizima au inastop kuplay!

Kuna njia ya kuset isifanye ivo yaan uendelee na shughuli nyingine halafu youtube iendelee kuplay
 
kuset isifanye ivo yaan uendelee na shughuli nyingine afu youtube iendelee kuplay
1735583494452.jpeg

To repeat a video: Go to the watch screen of any video. Tap Settings . Tap Additional settings . Tap Loop video . To repeat a playlist: Play any playlist.
 
View attachment 3188836
To repeat a video: Go to the watch screen of any video. Tap Settings . Tap Additional settings . Tap Loop video . To repeat a playlist: Play any playlist.
bro hujAnielewa

Yaan nataka isijistopishe ukitoka youtube ukaenda labda wasap!
Nataka nyimbo ziendelee kuplay backgroung
 
Mimi nimekuelewa . , kuhusu Mimi simu ipo hivyo Ina multitasking

Ila Kama ya kwako hawezi ndo wajuvi watakupa either App ya kufanya hivyo
 
bro hujAnielewa

Yaan nataka isijistopishe ukitoka youtube ukaenda labda wasap!
Nataka nyimbo ziendelee kuplay backgroung
inayocheza background labda ni Audio tu lakini kwa Video sidhani maana ukitoka out of screen lazima ikate.kwani ww unataka iendelee kuplay wakati ushahamia whatssap au jamiiforumsni Audio au Video
 
inayocheza background labda ni Audio tu lakini kwa Video sidhani maana ukitoka out of screen lazima ikate.kwani ww unataka iendelee kuplay wakati ushahamia whatssap au jamiiforumsni Audio au Video
ndio huwa naplay zile playlist xa nyimbo online
 
Kama unatumia Samsung, tumia browser yao "Samsung internet "
●ingia kwenye browser halafu search YouTube.
Cheza video yoyote halafu toka kwenye browser utaona video inaendelea kuplay

Vinginevyo lipia YouTube premium
hii bonge la idea
 
Kama unauwezo lipia youtube premium.....au tumia app nyingine zinazoweza ku access youtube.....mimi natumia ymusic......hio naplay kitu chochote youtube hata nikiwa njiani na simu screen nimezima ipo mfukoni na pia unaweza uka download chochote youtube
 
Back
Top Bottom