Nisha adai hana mimba!!

Izzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
553
Reaction score
1,144
Akifanya mahojiano na Ayo TV, msanii wa kike aliepamba vichwa vya habari kwa kudai kuwa ana mimba ambayo ilitokana na kubakwa; amesema mimba hiyo ilikua ni 'igizo'.Anasema alikuwa anajaribu kuuvaa uhusika wa mabinti wanaobakwa na si kweli kwamba ana mimba.

Nanukuu''Mwenye mimba ni Nisha,na sio Salma'

Source: Millard Ayo
 
kashaipiga hendel
 
Mimba katoa huyo kuna picha anakitumbo na kitovu kikubwa tu .....naalishaweka hadi kAvideo kamtoto kanacheza tumboni....kaamua kuichoropoa nakama ni movie mbona hajataja washiriki?.......
 
Wacha tu waendelee kuruka ndombolo ya solo siku umri umesonga wanazisaka hizo mimba holaa
 
Uhusika huwa hauvaliwi hivyo vema akarudi darasani kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…