Nisha aibu jaman

mmmh? me sio muumbaji siwezi kukosoa shepu yake ila rangi nguo nimeipenda
hahaha maana na wewe ni miss shapeless nini...ila upo right,cse kuna mtu anapenda the way alivyo
 
Napata tabu na tafsiri yako ya "aibu",nikizingatia hii avatar yako!!!
 
Asiyeumba haumbui,sioni tatizo lolote nilijua kavaa vazi la kuzaliwa
 
Mh hata mimi si muongeaj sana ila kwa hapa mh...... washaur wanatakiwa
 


Mi naona ametoka poa tu, amevaa gauni linalositiri uchi wake na maeneo vizuri tu. Kwa wengi wenu wanachukulia kupendeza ni kuwa nusu uchi.
Hapo angefunika na nyonyo vizuri ningempa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…