Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Aliyekuwa mpenzi wa Ney wa Mitego ambaye pia ni muigizaji wa filamu hapa nchini ,mwanadada Salma Jabu (Nisha)hatimaye afunguka hadharani kuwa anakesha akiomba usiku na mchana ili apate mume maana amechoka maisha ya kuishi bila mume na ukizingatia umri unazidi kusonga.
Nisha pia anajivunia kukuza binti yake aitwae Iptsam ambaye kwa haraka haraka unaweza ukadhani labda ni mdogo wake kwa maana miili yao haitofautiani ukubwa.
Iptisam amemaliza darasa la saba mwaka huu na mwakani Mungu akipenda anatarajia kujiunga kidato cha kwanza.