Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Yamekauka mkuu siunajua joto la DarMbona sio hayo machozi hayo?
Sio vizuri mtoto Wa mwenzio kumwita "toto lako"Pole sana, toto lako kubwa na zuri litanifaa kwa matumizi ya wife
Si utani tu lakini, we huoni toto lilivyokuwa hadi rahaSio vizuri mtoto Wa mwenzio kumwita "toto lako"
Kwenye ndoa huwa wanafuata nini?Sasa hapo kalilia dushe au kalilia heshima ya mwanamke wa Kiafrika ambae anaamini pasipo na ndoa basi hajakamilika!!!!
Kusema analilia dushe ni kumpa crown ambayo sidhani kama anastahili manake ni kama kusema hajagegedwa muda mrefu na kwahiyo kaliwekea hamu!!!
Swali hujibiwa na jibu lakini kama unadhani wanafuata dushe, watu wengi wanapiga dushe na wengine wanapigwa dushe pasipo na ndoa! Which means, dushe sio sababu ya msingi!!!Kwenye ndoa huwa wanafuata nini?
Aisee .Swali hujibiwa na jibu lakini kama unadhani wanafuata dushe, watu wengi wanapiga dushe na wengine wanapigwa dushe pasipo na ndoa! Which means, dushe sio sababu ya msingi!!!
Hoja ni kwamba msingi wa ndoa sio dushe kwa sababu dushe linapatikana hata pasipo na ndoa! Kinyume chake, msingi wa ndoa ni watu kutaka kuishi pamoja kihalali na hayo mengine ni matokeo tu!!!Aisee .
Kama dushe sio sababu basi wangekuwa wanaoana Ke kwa Ke.
Watu wanaoana ili kutengeneza familia na hiyo familia inapikana kupitia kushiriki tendo la ndoa baina ya Me na Ke.
Kuoana wanahalalisha tu hilo tendo la ndoa .Hoja ni kwamba msingi wa ndoa sio dushe kwa sababu dushe linapatikana hata pasipo na ndoa! Kinyume chake, msingi wa ndoa ni watu kutaka kuishi pamoja kihalali na hayo mengine ni matokeo tu!!!
Na ndio maana, ni kawaida kuona mtu anakaa na mwanamke/mwanaume kwa miaka huku wakiendelea kupigana dushe na kuzaa! Lakini anapotokea mtu wa nje aliye tayari kufunga ndoa na mmoja wa hawa; unakuta hiyo bond inavunjika na mtu anafuata ndoa ingawaje kama ni mwanamke, hata huko alikotoka alikuwa anapigwa dushe kila siku na kuzaa juu!!!
Aidha, si jambo geni pia kuona mwanamke wa miaka 60+ nae akitaka kuolewa na wakati mwingine kuolewa kabisa wakati hata uzazi umeshafunga!!!
Na ndicho ninachokiona kwenye ujumbe wa Salma Jabu!! Shida yake sio dushe bali ni ndoa! Kama ni dushe, anaweza kupigwa wakati wowote akitaka!
Uko sahihi kabisa hiyo ni lugha ya uzalilishaji ambayo serikali inatunga sheria kila ck kudhibiti upuuzi km huu.Sasa hapo kalilia dushe au kalilia heshima ya mwanamke wa Kiafrika ambae anaamini pasipo na ndoa basi hajakamilika!!!!
Kusema analilia dushe ni kumpa crown ambayo sidhani kama anastahili manake ni kama kusema hajagegedwa muda mrefu na kwahiyo kaliwekea hamu!!!
Ukweli utabaki palepale.Uko sahihi kabisa hiyo ni lugha ya uzalilishaji ambayo serikali inatunga sheria kila ck kudhibiti upuuzi km huu.
Tafsiri yake hata mama zetu ambao wamesisitiza kuolewa ili watunze heshima za kimila na kiimani walikuwa wanalilia dushe? Na wanaume wanatafuta wasichana wa kuwaoa nao wanalilia nini?
Umenikbusha hilo neno "pathetic" judge wa tusker project fame judge IAN kama sijakosea kuandika. AAkiwa amekasirishwa na uimbaji wa contestantPathetic....
Hahah aisee kumbeUmenikbusha hilo neno "pathetic" judge wa tusker project fame judge IAN kama sijakosea kuandika. AAkiwa amekasirishwa na uimbaji wa contestant