Nisha Augua Baada Ya Kuavya Mimba

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Kulikuwa na uvumi baada staa wa bongo movies kushikwa na ugonjwa wa ghafla usiojulikana chanzo chake lakini baadae ukweli umegunduliwa kuwa Nisha alikuwa mja mzito na aliavya mimba jambo ambalo lilimfanya yeye kuathirika.

Mwandani wa familia ya Nisha aliweka wazi jambo hilo baada ya wadaku wa habari kutaka kujua chanzo cha ugonjwa wa Nisha.

Chanzo>>>Nisha Augua Baada Ya Kuavya Mimba - bkuHABARI
 

Attachments

  • nishai.jpg
    14.2 KB · Views: 594
ameolewa au hiyo mimba ameipata kwa roho mtakavitu.....?
 
Du hili neno kuavya mimba sijalisoma kabisa
 
nisha mc au nisher video director ndio mjamzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…