Nisha awaumbua Ommy Dimpoz na Martin Kadinda

omy dimpoz hamstendishi milele namjua tu
huyo ni fimbo legea
 
Ninavyokujua wewe unavyopenda umbea sijui kama utaweza kuvumilia, tena nitakuwa natoa maumbea hot yale yani hakunaga
Wambea tumetoka mbali [emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzi una zaidi ya mwaka sasa.
 
Haya mambo mnayajua wanaume, kama ndio hivyo siwezi kukataa.
Ila sasa kama sio maumbile yao kwanini wanatumia nguvu nyingi hivyo?
Kwa sababu hawana vitu hivyo , mwenye nacho huwa hana mbwembwe hata siku moja
 
Hawa majamaa wanazingua ukiangalia hayo madude yametoka usawa wa kitovuni na si katikati ya miguu
Nisha ndiyo kaweka kiusawa kabisa unaweza ukasema ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…