Nisha Bebe alia tena

Nisha Bebe alia tena

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,934
Msanii Nisha kwa mara nyingine tena amepata title ya u 'single parent'...

Ni baada ya kupewa mimba na kisha kuachana na baby dady wa kijacho hiko bila hata kusubiri mrembo huyo ajifungue.....

Inasemekana lakini eti,inasemekana eti capital letter D hiyo yaweza kua imechorwa na 'zipu mbovu' a.k.a 'kisiki cha mpingo' Baraka da prince....

Ila Nisha kasema haina noma kama yule wa kwanza alimlea bila msaada wa baby dady, huyu ataanzaje kushindwa?...

89e0f1d26983b9f992701e0fa564e65c.jpg

1479198565290.jpg
 
View attachment 434468
"Kama unataka mtoto gongwa zaa" Sir Nature.
 
Atakuja mwingine atampa mimba, halafu itakuwa hivi hivi aisee
 
"Kama usivyojua hii ni yako au ya mwenzako".....Kwa hiyo alikuwa ana double date? No wonder wanaume wote wameikataa mimba, maana hawana uhakika nani ndo baba kijacho original. Ameamua Kulea peke yake, basi anyamaze tu, alee salama. Afu inaonyesha hao suspected baby daddies wote ni celebrities, maana ujumbe unawahusu wote mweee kwenye dunia ya kutazamwa (I hope nimeielewa sawa post yake)
 
hata me nimehisi hivyo
 
Back
Top Bottom