Nisha zoea kupasuka, na leo naweka 256,000tsh kwa ajili ya jackpot.

Nisha zoea kupasuka, na leo naweka 256,000tsh kwa ajili ya jackpot.

davejillaonecka

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
697
Reaction score
749
Nisha zoea kupasuka, na leo naweka 256,000tsh kwa ajili ya jackpot [emoji41]
Nilisha umiaga sana mpaka nimezoea.
Screenshot_20220409-122321.jpg
 
😮mamaee...

mkuu ukipata hyo bilion shilings unikumbuke
 
Jackpot haiwezekan,watu tunashndwa hata game mbili tu
 
Ito pesa ungeweka single bet ungekula Sana,
Upuuz wa jackpot unafilisi sana
 
Bro pambana mimi nakuunga mkono ipo siku tu
 
Back
Top Bottom