Hizo mechi sana siku nyingine chagua japo mechi mbili alafu unaweka mzigo wa maana . Alafu usiweke mahaba ya kitimu kwenye betting pia usitumie betting kama njia ya kufanikisha issue zako za kiuchumi utalia. Do it as refreshment. Just advice nimependa signature yako
hajahah....mkuu mbona apo pressure sana...anyway tusubir vijana wanapambana japo apo kwa newcastle na WHM naona mambo yashaanza kwenda kombo na cdhan kama yatarud