Nishagundua siwezi kushinda zawadi kwenye shindano letu

Nishagundua siwezi kushinda zawadi kwenye shindano letu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Niliwaza labda niandike thread kwenye story of changes Kisha nimuombe mkwepu jr kunisapoti yaani aniombee kura.lakini Nikakuta napelea vipengele kibao yaani hata ukifunga siku 50 hupigiwi kura..kweli jamii forum Kuna watu wana akili Sana yaani me nilivoona siwezi kushinda million Tano nikaamua tu nije na wazo tu kwamba atakayeshinda atumie walau million tatu kupanda miti ili kutunza mazingira lakini pia jamiiforum imuajiri awe anatu editia thread zetu.
Kwa kweli Mimi Ni mjinga yaani eti nilidhani ningeweza kushinda hata laptop au smartphone.nime fight kote ulimwenguni bado sijapata content ya kuwaletea yenye sifa za walahu ku lailikiwa ✓..kwa hivyo natakiwa nirudie upya darasa la kwanza.Nimepatwa na athari za janga la corona, uchafuzi na upweke yaani mtu wa kunisaidia kutumia hela zetu kula.
I am so sorry tusameheane siwezi kuwatupa na nawaahidi tutapeana madeal na madini.kwani nyie ndugu zangu na nyie hamtaki kufurahia maisha kisa tozo tu.sio kila kitu mchukulie serious moyo wangu me uko nanyi Hadi siku nakufa.jukwaani tuko Wengi bila wakina mshana wakina Mohamed said mzee wakina mkwawa chief kuwa nasi tusingefika Hapa kila siku Wana jf nawapokea na mko always on my mind.Too much love na together for real.ndo tunasepa na kiswahili kinazidi kuwa kitamu kwenye ulimi fresh kabisa.
Friends muwe mnakula chai
 
🤣🤣 Kama unataka kushinda kule fanya utafiti wengi wao humu ni lika lipi je,wanamatatizo gani then andika solution ya uhakika hapo Kura utazipata
 
Back
Top Bottom