Mtumiabusara
JF-Expert Member
- Nov 18, 2009
- 473
- 40
Mkuu hii ni hoja nzuri na ngumu kidogo.
Kwanza kabisa mimi ni mdau katika nishati na ninapenda watu watumie nishati ambayo inapatikana wakati wote, bei poa na rafiki wa mtumiaji (haina madhara).
Suala la kutumia gesi yetu lina utata mwingi kwakuwa "wenye nguvu" hawataki kuona unapata nishati ya bei poa "kwani wao hawatauza ile ya kwao wanayoileta toka majuu".-NOTE: Biashara ya mafuta na gesi yote inafanywa na "wenye nguvu".
Gesi yetu ya asili ina uwezo wa; KUTUMIKA MAJUMBANI KUPIKIA, KUZALISHA UMEME NA KUJAZA KWENYE MAGARI YOTE KUANZIA BAJAJI HADI MABASI YA GHOROFA. Kwa kulijua hili "wenye nguvu" wanaona giza mbele yao, hivyo wanahakikisha "hatutoki" kwenye kununua vya kwao.
Ushauri wangu; Wakati tukisubiri "uhuru wa Tanganyika/Tz" unaweza kutumia teknolojia ya "BIOGAS" ambayo mini ni mtaalam. Kwa mtu yeyote mwenye nafasi katika maeneo ya nyumbani kwake, awe na mifugo au hana anaweza kuzalisha biogas kwaajili ya kupikia na kwaajili ya matumizi mengine. Ili biogas izalishwe "mtambo wa biogas"(Biodigester) unatakiwa kusanifiwa, kujengwa na vifaa vyake kufungwa tayari kwa matumizi. Mtambo mdogo ambao unatosha matumizi ya familia utachukua siku 25-30 kuujenga na ukishajengwa unadumu miaka 35-40. Kama uko interested kupata taarifa zaidi ni-PM.
Faida za mtambo wa biogas ni pamoja na; Kutumia nishati ambayo unazalisha mwenyewe, unaipata wakati unapoitaka, unazalisha mbolea ya asili (organic manure), mazingira yanakuwa safi na salama, hakunaa madhara ya moshi, inalipa ndaani ya miaka kati ya 3-5.
Tumia kuni, magunzi, au kinyesi cha ng'ombe.
umkuu hii ni hoja nzuri na ngumu kidogo.
Kwanza kabisa mimi ni mdau katika nishati na ninapenda watu watumie nishati ambayo inapatikana wakati wote, bei poa na rafiki wa mtumiaji (haina madhara).
Suala la kutumia gesi yetu lina utata mwingi kwakuwa "wenye nguvu" hawataki kuona unapata nishati ya bei poa "kwani wao hawatauza ile ya kwao wanayoileta toka majuu".-note: Biashara ya mafuta na gesi yote inafanywa na "wenye nguvu".
Gesi yetu ya asili ina uwezo wa; kutumika majumbani kupikia, kuzalisha umeme na kujaza kwenye magari yote kuanzia bajaji hadi mabasi ya ghorofa. Kwa kulijua hili "wenye nguvu" wanaona giza mbele yao, hivyo wanahakikisha "hatutoki" kwenye kununua vya kwao.
Ushauri wangu; wakati tukisubiri "uhuru wa tanganyika/tz" unaweza kutumia teknolojia ya "biogas" ambayo mini ni mtaalam. Kwa mtu yeyote mwenye nafasi katika maeneo ya nyumbani kwake, awe na mifugo au hana anaweza kuzalisha biogas kwaajili ya kupikia na kwaajili ya matumizi mengine. Ili biogas izalishwe "mtambo wa biogas"(biodigester) unatakiwa kusanifiwa, kujengwa na vifaa vyake kufungwa tayari kwa matumizi. Mtambo mdogo ambao unatosha matumizi ya familia utachukua siku 25-30 kuujenga na ukishajengwa unadumu miaka 35-40. Kama uko interested kupata taarifa zaidi ni-pm.
Faida za mtambo wa biogas ni pamoja na; kutumia nishati ambayo unazalisha mwenyewe, unaipata wakati unapoitaka, unazalisha mbolea ya asili (organic manure), mazingira yanakuwa safi na salama, hakunaa madhara ya moshi, inalipa ndaani ya miaka kati ya 3-5.
Tumia kuni, magunzi, au kinyesi cha ng'ombe.
u
mkuu unacho sema ni sahihi kabisa 100% biogas ni nzuri sana na ukisha install ndo imetoka wewe ni kutumia tu,
ila mkuu kila kitu kina vikwazo vyake, kwa upande wa biogas vikwazo vyake ni hivi
1. Biogasi inatumiwa kwa mtu mwenye nyumba yake tu, vipi walio panga?
2. Mkuu kwa walio panga hii haiwezekani kabisa,
3 hata kama umejenga nyumba yako inatakiwa uwe na eneo la kutosha make mfumo wa choo za biogasi ni tofauti na hizi tulizo zizoea.
Biogas ni nzuri sana lakini uwe na nyumba yako mwenyewe, ukiwa umepanga kwenye magorofa ya nhc hii kitu haiwezekani
Then gharama yake ni zaidi ya laki2.Biogas kwa mkoa wa DAR,Pwani kuna offer ya COSTEC ,wanakutengenezea kwa gharama ya laki2 tu.
ni mradi uliofadhiliwa na wazungu.unachotakiwa ni kutoa eneo na vifaa vya ujenzi.
Chief Eucalyptos, im in. But ungeweka hadharani estimated cost za hiyo plant kwa matumizi ya nyumban ingekuwa vizuri zaidi na ingekuwa na effect kubwa zaidi kwa wadau wa JF. Thanks
Nadhani suala la bei bado ni muhimu, minimum cost that someone will have to apy ni kiasi gani ndugu?!?!?!?!