Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Sawa ahsante kwa ushauri wako mzuriOa tu mdogo ulatimize amri ya kuijaza dunia
Ahsante kwa ushauri wako mzuriFungua kilinge cha Uganga, mtaji usinga na kaniki.
Thank me later
Sawa mkuu, ushauri mzuri sana huu nitaufanyia KAZI hivi karibuniChukua ml 2 tengeneza banda la chuma la biashara. Kodi eneo karibu na shule yeyote ya serikali iwe ya sekondari Nunua friji used la laki 2 mpaka 5 kisha anza kuuza ice cream, ufresh, juice mtaji ukikua anzisha stationary na photos studio.
Sawa kakaKakq we apo komaa tu na biashara
Mkuu habari nimekucheki DM# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya? hio ndio njia sahihi logical
Mkuu mfano fani Gani?Nenda veta, upate fani !! Fani haiozi., badae uweze kwenda nje kusoma raman, age inaruhusu !
Nb,,, Maisha hayatabiriki,,, ni bahati na commitment
Mkuu ahsante nimeelewa kabisaJilipue nje kabebe box huku ukipiga shule na kujitafuta, bongo utasota sana kama hauna jicho la tatu
Jifunze udereva, ukimaliza tafuta shule piga kozi ya lugha ya Kichina.# Nijifunze udereva wa magari makubwa?
# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?
#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??
# Nitafute mtaji wa biashara nikomae na Biashara??
Nina umri wa miaka 25
Location Dar es salaam
Ni asset zenye Thamani ya 3m cash ambazo naweza kuuza kupata capital ya kukamilisha yote hapo juuu
Kwa makini sanaa naomba ushauri wako
Mkuu zipi faida ya Lugha ya kichina?Jifunze udereva, ukimaliza tafuta shule piga kozi ya lugha ya Kichina.
Funga uzi!
Chunguza fani nzuri yenye market nje, au somea udereva, umeme, plumbing, n.k ukifanikiwa kupata diploma tu , nenda njeMkuu mfano fani Gani?
Au nichunguze ni fani Gani nje ya nchi Zina market then after niende?
Instead of kujifunza udereva wa magari makubwa tafuta chimbo Jifunze kuendesha mitambo(excavator ) NK barabara nyingi zinajengwa na nyingi zinafanyiwa maintenance kila siku uzuri ukiweza Ku operate mitambo kuna site nyingi wanaitaji watu na bado ni wachache# Nijifunze udereva wa magari makubwa?
# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?
#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??
# Nitafute mtaji wa biashara nikomae na Biashara??
Nina umri wa miaka 25
Location Dar es salaam
Ni asset zenye Thamani ya 3m cash ambazo naweza kuuza kupata capital ya kukamilisha yote hapo juuu
Kwa makini sanaa naomba ushauri wako
Hahahaha 😂Instead of kujifunza udereva wa magari makubwa tafuta chimbo Jifunze kuendesha mitambo(excavator ) NK barabara nyingi zinajengwa na nyingi zinafanyiwa maintenance kila siku uzuri ukiweza Ku operate mitambo kuna site nyingi wanaitaji watu na bado ni wachache
Ukiwa na ujuzi Tu umetoboa kuliko ukawe chokoraa Dubai kulala kwenye mitalo na vibaraza vya watu mshiko ukiisha na upo nchi za watu utavuliwa ubingwa (jicho la tatu) kizembe Sana hahahahaha
All in all napenda sana spirit ya kujiribua kwenda kuanza upya mazingira mapya najuta nimechelewa kufanya maamuzi nimebaki mpakani (matakoni) mwa Tz for decade
Hahha mkuu very interestingInstead of kujifunza udereva wa magari makubwa tafuta chimbo Jifunze kuendesha mitambo(excavator ) NK barabara nyingi zinajengwa na nyingi zinafanyiwa maintenance kila siku uzuri ukiweza Ku operate mitambo kuna site nyingi wanaitaji watu na bado ni wachache