Nishauri Chochote kati ya haya, nimemaliza chuo

Ndugu yangu nunua kiwanja Tanzania omba visitors Visa. Kuwaonyesha document unamiliki kiwanja na uns pesa kiasi kwa account unapata. Ukishaingia anza mara moja process ya kuibadili visitors Visa kuwa ya kazi.
Sio rahisi ivyo kama unavyofikilia..na Sheria za kubadili visitor visa kua ya kaz zinawabana sna. Unaweza ukajikuta ad mda wa visa yako unaisha bado mambo ni ngumu
 
Sio rahisi ivyo kama unavyofikilia..na Sheria za kubadili visitor visa kua ya kaz zinawabana sna. Unaweza ukajikuta ad mda wa visa yako unaisha bado mambo ni ngumu
Kama ana cheti cha chuo na Gachagua kazi anaweza kubadili. Ila inabidi aanze process akishafika asisubiri hata siku moja mbele. Ukiingia mitaondoni kuna watu kibao wanashauri jinsi ya kubadili
 
Vipi una leseni tayari ya awali yani class D
 
Njoo na iyo milioni 2 kitambaa cheupe kesho tudiscuss mpaka mida ya saa 8 usiku tutakua tushapata wazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…