Nishauri kuhusu hili wazo langu

Sijui ni umachinga wa bidhaa gani unaotaka kuufanya, ubora na usafi wa machine za kupimia utakazotumia, wazo zuri ila mimi nakushauri ujikite Zaidi kwenye kutoa BONASI ndogo ndogo kwenye biashara utakayouza ili kujiepusha na other consequences kwenye mambo ya afya za watu, kwa mfano kama utakuwa unauza chupa za chai utanunua waya za kusafisha chupa ambazo sokoni zinauzwa mia tatu, kama utauza urembo kwa wadada unaweza kumpa color ya kufungia nywele ambazo zipo za rahisi. Naamini kama utapiga hesabu vizuri biashara itakutoa fasta
 
Ahsante mkuu nashukuru,, but biashara yangu Mimi ni juice za Aina mbalimbali na matunda ndio sababu nikafikiria uzito kama bonus, suala la consequences za Afya za watu kama ulivosema nadhani sio tatizo sababu uzito na BP haihusishi utoaji damu ni kitu cha nje ya mwili so haiwezi kuleta shida nadhani, lakini pia Mimi nimesoma mambo ya Afya so nafahamu nini nifanye ili kumprotect kuwa infected.
 

Mkuu kama umesomea afya sijajua umesomea nini haswa
Unaweza nielezea dm nikushauri kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…