Nishauri kuhusu huu usafiri MAZDA Axela Sport 2004

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Posts
6,097
Reaction score
7,199
Haya,

Wale wenye uzoefu nishaurini. Nimepambana kwa Mchina hapa, mwisho wa mwezi huu akinilipa mshahara ninataka kuvuta usafiri huu moja kwa moja kutoka JAPAN.

MAZDA Axela Sport ya mwaka 2004

Vipi kuhusu:

1. Uimara wa gari (durability)
2. Performance (engine perfomance vs. fuel consumption) ulaji wa mafuta
3. Matengenezo (repair) na upatkanaji wa spea
4. Alternative car (mbadala wa hii kama upo, nichukue ipi?)

Bajeti yangu Dollar za Trump 3800 tu, ama milioni 9.5 Tz

Kilambim'

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 20190220_205155.jpeg
    91.6 KB · Views: 83
  • 20190220_205450.jpeg
    37.3 KB · Views: 104
Mazda gari nzuri sana na imara.. Changamoto yake ni spea ziko bei juu sana..
Kama uko vizuri kiuchumi chukua tu wala usiwe na shaka!!
 
Nimewahi miliki mazda demio.. Hakika ni gari nzuri sana, issue tu spare zake bei imesimama, ila ukifunga umefunga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lete mrejesho,hiyo Mazda uliimiliki?
Uendeshaji wake ukoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…