Wekeza hiyo pesa, baadae nunua gariMambo vp wazee wenzangu, kwa mwenye ujuzi zaidi wa gari ndogo ndogo but classic ninunue mchuma upi kwa budget ya Million 6. Maana niliandaa pesa nikatoe mahali nioe Mwakani ila naona Mtoto wa kike pasua kichwa bora ni top up mkwanja nivute mkoko nile maisha kwa umakini kuliko kuuliwa na Mapenzi.
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kujifanya mama terry...alokwambia hajawekeza ni nani..??hivi uwa mnadhani wana jf wote ni watafuta kazi au sio!!?
Are u serious hajui jinsi ya kuwekeza hiyo pesa ndugu, Kama ni kweli njoo pm
We To Be buana mwenzio anataka kununua mkoko sasa hivi wewe unamwambia awekeze !!Are u serious hajui jinsi ya kuwekeza hiyo pesa ndugu, Kama ni kweli njoo pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Awkeze ili apate faida Kwanza ndo anunue gar ya kutembeleaWe To Be buana mwenzio anataka kununua mkoko sasa hivi wewe unamwambia awekeze !!
Hatari sanaa mzee wanguDah ni bora umengamua mapema kabla hujachoma hiyo pesa. Imagine ndio umegharamia arusi afu hata mwezi haujaisha mke kasepa unaweza zirai.
Wazo zuri Mkuu wangu, ila nina biashara mbili tofauti zinanipa uhakika wa mafuta na service, sasa kwavile sijawahi miliki gari naona muda ndo huu kula jasho langu
Vitz .. passo.. suzuki kei au swift.. nissan march... ila kwa ushauri wangu chukua vitz na showroom gari zinaanzia ml 8 kwenda juu kwa hiyo utapata ilotumika hapa bongoMambo vp wazee wenzangu, kwa mwenye ujuzi zaidi wa gari ndogo ndogo but classic ninunue mchuma upi kwa budget ya Million 6. Maana niliandaa pesa nikatoe mahali nioe Mwakani ila naona Mtoto wa kike pasua kichwa bora ni top up mkwanja nivute mkoko nile maisha kwa umakini kuliko kuuliwa na Mapenzi.
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app