Hanc med Member Joined May 29, 2017 Posts 8 Reaction score 5 Jan 9, 2025 #1 Nipo jiji la Dar es Salamu zaidi ya mwezi mmoja Taaluma yangu ni upigaji picha (photograpy) lakini sina mwenyeji nini nifanye ?
Nipo jiji la Dar es Salamu zaidi ya mwezi mmoja Taaluma yangu ni upigaji picha (photograpy) lakini sina mwenyeji nini nifanye ?
kipanga85 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2024 Posts 2,459 Reaction score 6,466 Jan 9, 2025 #2 tafuta mwenyeji
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Jan 9, 2025 #3 Hanc med said: Nipo jiji la Dar es Salamu zaidi ya mwezi mmoja Taaluma yangu ni upigaji picha (photograpy) lakini sina mwenyeji nini nifanye ? Click to expand... Picha? Watu wanajiselfiee sasa mambo ya picha tena?
Hanc med said: Nipo jiji la Dar es Salamu zaidi ya mwezi mmoja Taaluma yangu ni upigaji picha (photograpy) lakini sina mwenyeji nini nifanye ? Click to expand... Picha? Watu wanajiselfiee sasa mambo ya picha tena?
makutupora JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 2,089 Reaction score 4,086 Jan 9, 2025 #4 Mungu na awe mwenyeji wako. Bwana na aibariki kazi ya mikono yako. Mungu akupe destiny helper's
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,063 Reaction score 12,866 Jan 9, 2025 #5 Dar sio Bariad mzee. Kila unayemuona Dar ni tapeli Kwa namna moja au nyingine. Jikite kwenye kilichokupeleka
Dar sio Bariad mzee. Kila unayemuona Dar ni tapeli Kwa namna moja au nyingine. Jikite kwenye kilichokupeleka
SACO JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 2,623 Reaction score 3,397 Jan 9, 2025 #6 Lala stend amkia kaz
Hanc med Member Joined May 29, 2017 Posts 8 Reaction score 5 Jan 9, 2025 Thread starter #7 much thanks makutupora said: Mungu na awe mwenyeji wako. Bwana na aibariki kazi ya mikono yako. Mungu akupe destiny helper's Click to expand... much thanks+
much thanks makutupora said: Mungu na awe mwenyeji wako. Bwana na aibariki kazi ya mikono yako. Mungu akupe destiny helper's Click to expand... much thanks+
Hanc med Member Joined May 29, 2017 Posts 8 Reaction score 5 Jan 9, 2025 Thread starter #8 kipanga85 said: tafuta mwenyeji Click to expand... Sawa sawa
Hanc med Member Joined May 29, 2017 Posts 8 Reaction score 5 Jan 9, 2025 Thread starter #9 makutupora said: Mungu na awe mwenyeji wako. Bwana na aibariki kazi ya mikono yako. Mungu akupe destiny helper's Click to expand... thanks so much
makutupora said: Mungu na awe mwenyeji wako. Bwana na aibariki kazi ya mikono yako. Mungu akupe destiny helper's Click to expand... thanks so much