Raisi WA JF
Member
- Sep 1, 2022
- 25
- 38
Hivi wewe unapofikia hatua ukakosa cha kufanya, matumaini uliyokuwa nayo yakayeyuka, watu uliowategemea wamekuacha, kanisani unaogopa hata kukanyaga maana wanakudai sadaka ya ujenzi na michango mingine, kila ukipiga magoti kusali unahisi maombi yako Mungu haya sikiii, umri unasogea ila wewe bado upo palepale, vijana wa umri wako wamepiga hatua kimaendeleo mpaka unajiona mzembe sana unajaribu kusimama kwa miguu yako ila unakosa support....
Mtu akiwa kwenye hali hii unamshaurije tuseme ni mimi ndio napitia khalii hiii.
Mtu akiwa kwenye hali hii unamshaurije tuseme ni mimi ndio napitia khalii hiii.