Nishaurini Chuo kizuri kutokana na alama nilizopata

BENJA1

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
39
Reaction score
8
Naomba ushauri kuhusu vyuo vya afya, kilimo na mifugo ambavyo ni private na vyenye ada isiyozidi 1.5 Milion matokeo yangu ni division 4 point 26 2012 yenye C pass 2 ya biology and chemistry.

Naomba ushauri wa hata kozi zingine zinazo nifaa?

Ahsanteni.
 
kilimo nenda illemi polytechnic college ni m1.4na nusu boarding,,
 
Kasome clinical assistant Mvumi Dodoma ni nzuri na ajira za uhakika kuliko hiyo kilimo.
 
Kwa hizo pass usijisumbue na udaktari, utatuulia viumbe asee.
 
Diploma bado wanachukua?Nilijua kuwa mambo yote yameishia kule NACTE.Hiyo diploma inakuaje?
 
Ilemi polytechnic ipo Mbeya au siyo mkuu? naomba website yao kama unaijua ili ni download form!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…