Nishaurini jamani, Location gani nzuri kwa biashara ya HARDWARE(DSM & Pwani)

Weweeeeeee hao wapo juu k/koo hapo utawakuta kwenye pamba nyepesi kama unamtaji wa kuruka China na Thailand ingia huko kwenye pamba nyepesi
Hahahaaa.Nataka kuleta mapinduzi.Isitoshe najisikia sina hobi ya pamba nyepesi wala fudi ndio maana nikachagua huku kwenye kujenga.Halafu wote ambao mnaendelea na ujenzi kuanzia wewe Fidel itabidi mniunge uteja.
 
Kigamboni kunafaa na location nzuri ni njia ya kuelekea Kibada pale njia panda ya Dar es Salaam zoo na hata kule mbele zaidi, Pia kata ya vijibweni na hata ile njia ya kuelekea Kimbiji.
 
Hahahaha! 2010 tuko kibiashara zaidi.
Ngoja nindelee kuangalia mtiririko afu mi ntakuwa wa mwisho kwa ajili ya hitimisho!
 
Halafu wote ambao mnaendelea na ujenzi kuanzia wewe Fidel itabidi mniunge uteja.

hehehe nitakuunga mkono baada ya kujua wewe wa Bulongwa au Ikonda au Mang'oto ndo nitakuwa mteja wako.
 
Hahahaha! 2010 tuko kibiashara zaidi.
Ngoja nindelee kuangalia mtiririko afu mi ntakuwa wa mwisho kwa ajili ya hitimisho!
Ninachokuomba utambulisho uwahi mapema zaidi.Nimeambiwa pale mwenge NHBRA kuna U-Rombo mkuu,mashati nk.
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 7 (6 members and 1 guests) Chrispin, Enny, Kaizer, Noname, Tusker Bariiiidi

Huyu hapa homeboi! Hebu fanza maadvaizi kwa shemejio. Mwaka huu kwetu ni wa kibiashara zaidi. Usisahau Chake ni Changu.
 
Hahahaha kwa hiyo hawa warefu warefu hutaki wawe wateja wako?
Hapana sijasema hivo kaka.Hizo sasa ni Stereotypes.Hawa warefu ni mashemeji zangu hivo ni lazima waniunge mkono biashara.
 
Hapana sijasema hivo kaka.Hizo sasa ni Stereotypes.Hawa warefu ni mashemeji zangu hivo ni lazima waniunge mkono biashara.
πŸ˜€πŸ˜€
una bahati kweli
 
πŸ˜€πŸ˜€
naona UNYANYAPAA WA WAZI KABISA KWA NDUGU YANGU KAIZER
Nisamehe Kaizer,sikuwa na nia hiyo.Aftaloo nyerere alitukataza kupanda basi la makabila.
Lets talk Business.Mwaka huu ni kibussiness zaidi.Tunavuka mipaka ya kabila hadi uchina tutafika.lets put our hands tugeza!
 
TUGEZA TUNAWAKILISHA!...hivi wewe uko siriaz na hiyo biznec?nataka tuongee kiproffessional zaidi
 
TUGEZA TUNAWAKILISHA!...hivi wewe uko siriaz na hiyo biznec?nataka tuongee kiproffessional zaidi
YES I CAN!
Iam veeeery veeery veeery siriaz.Please I need your help especially you wapwaz na mabinamuz(lijendis & guests sijawasahau).
Hata ukisema nikuone Private nipo tayari ili mambo yaende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…