Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
poa!nitaomba mwongozo kutoka BOKO then nitakutafuta!...YES I CAN!
Iam veeeery veeery veeery siriaz.Please I need your help especially you wapwaz na mabinamuz(lijendis & guests sijawasahau).
Hata ukisema nikuone Private nipo tayari ili mambo yaende.
Kwa research ndogo niliyofanya nimeambiwa minimum ni 10 M.Fidel angalia tamaa zisikuharibie mlo baada ya kuwa umeuhanikiza kwa mate;
Charity huko mwanzoni ulisema mtaji mdogo; hivi mtaji mdogo kwa biashara hii ni kiasi gani?
Boko Hakuna tatizo ,infact nilipata baraka za Boko kabla ya kuanza mchakato huu.Kwa hiyo hilo ondoa shaka kabisa.poa!nitaomba mwongozo kutoka BOKO then nitakutafuta!...
YES I CAN!
Iam veeeery veeery veeery siriaz.Please I need your help especially you wapwaz na mabinamuz(lijendis & guests sijawasahau).
Hata ukisema nikuone Private nipo tayari ili mambo yaende.
poa poa!LET'S PRAY FOR THE BEST!nimepata picha halisi ya signature yako rasmi leoBoko Hakuna tatizo ,infact nilipata baraka za Boko kabla ya kuanza mchakato huu.Kwa hiyo hilo ondoa shaka kabisa.
Kwa research ndogo niliyofanya nimeambiwa minimum ni 10 M.
Hii ni kwa bidhaa tu.lakini hata ukianza na nane au tisa nadhani sio mbaya.ila itabidi u-base sana kwenye vifaa vya umeme na badae mambo yakienda sawia unajitanua zaidi kwenye vifaa vya ujenzi.Hiyo ni kwa bidhaa tuu ama ni pamoja na kodi ya pango na mazagazaga?
Kwa research ndogo niliyofanya nimeambiwa minimum ni 10 M.
Unatatizwa na nini baba watoto? chako changu ,changu chako.Hapo ndipo huwa pananitatizaga!
Fidel angalia tamaa zisikuharibie mlo baada ya kuwa umeuhanikiza kwa mate;
Jamani babashka! Kuna Benki ya Wanawake imefunguliwa (TWB).Kikwete katuletea ukombozi wa mwanamke.Mbona nilikueleza?Leo utanieleza ulipozipata hizo hela!
Unatatizwa na nini baba watoto? chako changu ,changu chako.
poa poa!LET'S PRAY FOR THE BEST!nimepata picha halisi ya signature yako rasmi leo
WELL,Hebu nieleze mtizamo wako upoje.si unajua migongano ya mawazo?Ukizingatia wewe upo kimaadili zaidi 2010.
Unatatizwa na nini baba watoto? chako changu ,changu chako.
Kwa maoni ya wengi humu naona maeneo ambayo nayapa priority ni Bunju,Kigamboni na kibamba.Nitachagua mojawapo kati ya hayo.Sijafika muafaka kabisa kwani bado nafanya research na nina mpango wa kutembelea hayo maeneo phyiscally nifanye window shoping nione hali halisi ikoje.Sasa umepata wazo la kuwekeza wapi na wapi au maeneo yapi nikuletee wateja.
WELL,
wewe ni mtu mzima.unaamini na kusimamia unachokiplan.kwa upande wangu naona kama upo kwenye the right track.na hasa inapozingatiwa kwamba CONSTRUCTION INDUSTRY IS BOOMING!uwe na hardware hata mbili ndogo ndogo lakini uzilocate maeneo ambayo ujenzi umepamba moto ikiwepo BOKO,BUNJU,BAGAMOYO-huko unaweka moja.na nyingine weka barabara ya kuelekea mbagala kule basi.
wateja wako watakuwa pamoja na sisi marafikiambao ndo kwanza tunaota ujenzi.wataalamu katika field hiyo watakusaidia kupata wateja pia.
generally,IDEA YAKO IKO SO POSITIVE!