Nishaurini jamani, Location gani nzuri kwa biashara ya HARDWARE(DSM & Pwani)

SENKS!na kule nimekugongea.
Nahitaji maombi yenu kwa sana kwa sasa cause kamwe sitaki tena utumwa na nisingependa plan hizi zibakie hadithi.I want it to be the REALITY.
YES I CAN!
utashinda tu!
INDEPENDENT WOMAN.....!that's my lady
 
Mrejesho ulikuja kuwaje?, Ulifungua wapi?

Nataka nianze na mm Hardware ila changamoto ni eneo kamawewe.

najua miaka 12 imepita tangu uandike post hii ila naomba utupe mrejesho sisi wadogo zako tunaotaka tuanze .

je kwa sasa mtaji uwe kiasi gani minimum?

je kawaida faida yakila bidhaa ya hardware inachezea asilimia ngap? 7%,10%au 15% au 20%

Je ni bidhaa gani hasa zina toka mara nyingi hazikai sana dukani ili nianze nazo kukuza mtaji badala ya kununua zinazochelewe nikose mzunguko wakulipa kodi ya pango.

Vip kuhusu leseni ya biashara ya hardware ni kiasi gani manispaa?
 

Miaka 12 mingi kiongozi usikute mtoa mada alishatangulia mbele ya haki!
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…