Nishaurini jamani! Mapenzi yamenipa mgongo!!

miaka sita mtoto si anaanza shule kabisa hapo? loh ..... ngoja nipite tu kimyakimya hapa....mimi alonitongoza tu jana leo anataka tufunge ndoa ,wewe miaka sita? au miezi sita? sijaelewa....
 
mh,pole bidada. miaka sita mnasubiri nin kufunga ndoa? hyo keshaonesha waz kuwa kakuchoka! mwe stuka. akufukuzaye hakwambii toka.mketishe akupe black and white pia uwe tayar kwa kuachwa!
 
vunja ukimya....
mueleze mabadiliko yako....
mwambie nini unataka toka kwake....

ikishindikana chapa lapa
 
...Pole sana dada, huyu ndio kishatupa jongoo na mti wake...dalili zinaonyesha hivyo.

mh,pole bidada. miaka sita mnasubiri nin kufunga ndoa? hyo keshaonesha waz kuwa kakuchoka! mwe stuka. akufukuzaye hakwambii toka.mketishe akupe black and white pia uwe tayar kwa kuachwa!

kwani kasema yeye ni bidada jamani?
 
Naunga Mkono hoja wako. We kweli ni GT.
 
mh,pole bidada. miaka sita mnasubiri nin kufunga ndoa? hyo keshaonesha waz kuwa kakuchoka! mwe stuka. akufukuzaye hakwambii toka.mketishe akupe black and white pia uwe tayar kwa kuachwa!

Pole sana, lakini mmekaa katika uchumba kwa muda mrefu sana. Fuatilia na muulize kwa utulivu ili akupe ukweli, na ikiwa amebadili mawazo usilazimishe utampata mwingine atakayekupenda kwa dhati, lakini ikiwa hivyo hakikisha hamkai tena muda mrefu bila kufunga ndoa.
 
miaka sita mtoto si anaanza shule kabisa hapo? loh ..... ngoja nipite tu kimyakimya hapa....mimi alonitongoza tu jana leo anataka tufunge ndoa ,wewe miaka sita? au miezi sita? sijaelewa....

Smile usishangae mpenzi hayo mambo ya mda mrefu hivyo yapo labda walikua skonga ndo maana hata hivyo nionavyo mwanaume atakayekuacha mda mrefu hivyo atakua na malengo na wewe kama yeye ndo alikuanza au hajakuonja so lazima atakuwa na hamu ya kujua yaliyomo kama cvyo ameshakuona c lolote kwa hiyo uangalie ustaarabu mwingine nawasilisha
 
Mkalishe kitako na umuulize nini kinamsumbua
Labda ameona mapenzi yenu hayana dira wala mwelekeo
Miaka 6 si haba angalau kungekuwa na matumaini ya neema huko mbeleni

hata nikimuliza hasemi chochote.
 
Reactions: LD
miaka sita mtoto si anaanza shule kabisa hapo? loh ..... ngoja nipite tu kimyakimya hapa....mimi alonitongoza tu jana leo anataka tufunge ndoa ,wewe miaka sita? au miezi sita? sijaelewa....

Acha vituko wewe!..jana kakutongoza, leo anataka ndoa, kesho sijui atataka nini??
 
ahsante kwa ushauri wko mzur.
 
ahsante sn. Ha2wez kuish pamoja coz mm bado ni mwanafunz nnetegemea kuingia chuo mwaka huu.ila ntafata ushaur wko.ahsnt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…