Nishaurini jamani! Mapenzi yamenipa mgongo!!


thnx dia.
 
pole mwaya mdudu keshaingia kokwani mwaya,! sasa ingia jikoni upya, mtafute mtu unayemuaminia aweza kupa mambo kikamilifu, si ya kitandani tu, but pia sectors nyingine, mfano mapishi, kauli nzuri, jaribu kujifanya mpole na kwamba hujachukizwa, ili umzidi kete huyo mdudu kokwani! pole sana.
 

so unanishaur niwe muhindi au?
 

thnx mpendwa.
 

thnx mamajack.
 
Hayo ndo madhara ya uchumba wa mda mrefu!mnachokana kabla hata ya kuoana..pole sana it seems mwenzio ameshapata kipya kinyemi wewe anakuona si lolote tena..
 
mh,pole bidada. miaka sita mnasubiri nin kufunga ndoa? hyo keshaonesha waz kuwa kakuchoka! mwe stuka. akufukuzaye hakwambii toka.mketishe akupe black and white pia uwe tayar kwa kuachwa!

ha2wez kuoana dia coz mm bdo nasoma.
 

ahsnt sn dada yng.
 
hata nikimuliza hasemi chochote.

Pole kwa yanayokusibu.

Ushauri wangu:

1: Jipende wewe mwenyewe kwanza ndio umpende mtu mwingine. Kwa kufanya hivyo utajihurumia so hutajiua au kujipatia magonjwa yasiokuwa na sababu. Kama vile, Presha, Vidonda vya tumbo, kuumwa kichwa, hofu, kujikataa na mengine mengi

2: Tambua, kumbuka na zingatia kwamba NAFSI ya mtu mwingine huwezi kuipeleka unavyotaka kama yenyewe haijapenda na kuamua kusikiliza matakwa yako. Hilo lijue tu, kwamba nafsi yako ikiamua hata leo sitaki kumuona huyu, kuongea naye, kumpigia wala kumwandikia imeamua. Na ikizingatia uamumuzi huo kamwe mtu wa nje hata kama unadhani unampenda vipi hawezi kuibadilisha. So ni mwanadamu huyo, kaamua, ana utashi wake, akili zake na nguvu zake naamini.

Huna uwezo wakumbadili awe kama alivyokuwa kama kaamua kubadilika....TULIA SANA. Jitahidi kumuomba Mungu akupe faraja na amani. Mwombe Mungu akuondolee huzuni, chuki na kisasi. Kama imeandikwa itakuwa tu.....Atakwenda atarudi.
 

pole sana! jaribu kufanya utafiti kujua nin tatizo!
 
mapenzi yana run dunia, hii sekta sijui kwanini ilikuwepo...............so hofu yako ni kwamba ameshakutambulisha nyumbani so kuachana unaona haiwezekani...........bora nusu shari kuliko shari zima...............kaa nae muongee kwa mapana na marefu kama haelekei achana nae..............mana wewe ndo utakuja kuishi nae hapo baadaye isije ikawa ndoa ndoano.
 
ahsante sn. Ha2wez kuish pamoja coz mm bado ni mwanafunz nnetegemea kuingia chuo mwaka huu.ila ntafata ushaur wko.ahsnt.
for that case zingatia shule tu ndugu yangu mana elimu ndo mume/mke wa kweli hamtaachana hata ukiingia kaburini mtaingia wote na kuzikwa pamoja.
 
for that case zingatia shule tu ndugu yangu mana elimu ndo mume/mke wa kweli hamtaachana hata ukiingia kaburini mtaingia wote na kuzikwa pamoja.

thnx dia.
 
Hayo ndo madhara ya uchumba wa mda mrefu!mnachokana kabla hata ya kuoana..pole sana it seems mwenzio ameshapata kipya kinyemi wewe anakuona si lolote tena..

dah!km kwel ni ivo atanicost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…