Nishaurini kati ya Dstv na Azamtv ninunue kisimbuzi gani?

Nishaurini kati ya Dstv na Azamtv ninunue kisimbuzi gani?

Angalia channel zinazopatikana kwenye DStv na zile za Azam tv pamoja na gharama ya vifurushi vyake kisha uamue.
 
Kwa king'amuzi cha Azam utaidi yafuatayo:

1. Ligi kuu bongo
2. Azam federation cup
3. Caf champions lg na shirikisho - group stage
4. Carabao cup England ( all matches)
5. FA cup England (all matches)
6. Ligue 1 - France
7. Bundesliga - Germany
8. Ligi kuu uholanzi ( Eredivisie)
 
Back
Top Bottom