Mario Kempes
Member
- Jun 29, 2021
- 63
- 122
Nunua tuu vyotee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji7][emoji7]Napenda mipira yote ya bongo na ulaya, king'amuzi gani kinafaa hapo kwa huu uchumi wa kati? Naombeni ushauri
Si kweli..Utamu wa Dstv ni kuanzia kifurushi cha compact, kinyume na hapo kama huna huna hiyo 51,000 we tafuta tu Azam kibingwa
Akii ataenda kukiweka barabarani kigongwe n gariNunua dhuku
Hahaha haki nimecheka sanaMechi za bongo nyingi zinapigwa mchana tena siku za wiki, utashinda nyumbani ukigombea rimoti na watoto?
hahahahahaMechi za bongo nyingi zinapigwa mchana tena siku za wiki, utashinda nyumbani ukigombea rimoti na watoto?
Hivi hiki kipoje mkuu maana sikuhizi naona watu wengi wananunua