Nishaurini katika hili ''kansa ya ziwa''

kwanza pole
pili hujaeleza kwa nn zoez la mionzi lilishindikana
tatu maamuzi ya nn cha kumfanyia yanategemea na clinical and histological staging.
 
mkuu pole sana,

kama alikatwa na bado anatakiwa kupewa mionzi inabidi ufanye upesi kapambane pale pale ocean road mpaka kieleweke, ukiendelea kukaa na kusuburi itazidi kusamba mbali na utakua too late..

kila la kheri mkuu
 
Jitahidi upate bima ya afya itakuwa msaada kwako sana.Nimeuguza mgonjwa wa kansa bima ilitusaidia sana. Vipimo kwaajili ya matibabu ni vingi ukiwa na bima inagharamia vyote..
Uende hapo Ocean mkaonane na dr kama mlivyoagizwa.Usiogope wala usihofu kansa ya ziwa ikitibiwa mapema atapona.
 
Pole sana shangazi yangu alikatwa ziwa miezi labda m4 au5 iliyopita pale appolo hosptal ipo mtaa wa libya na mshihiri nenda kwanza kaonane na dr wa pale umsikilize
 
kwanza pole
pili hujaeleza kwa nn zoez la mionzi lilishindikana
tatu maamuzi ya nn cha kumfanyia yanategemea na clinical and histological staging.

Mionzi ilishindikana coz mashine ziliharibika, nashukuru mungu kwa sasa zimeanza kufanya kazi tena ila napenda kufahamu kama huduma hizo hulipiwa na endapo bima ya NHIF (blue kama sijakosea) huweza kusaidia.
 
Pole sana, jitahidi sana uwahi hospitali,
Usikae naye nyumbani muwahishe tu hosp. MziziMkavu Assalamu Alaikum,
Heshima sana kwako mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mionzi ilishindikana coz mashine ziliharibika, nashukuru mungu kwa sasa zimeanza kufanya kazi tena ila napenda kufahamu kama huduma hizo hulipiwa na endapo bima ya NHIF (blue kama sijakosea) huweza kusaidia.
pole mkuu
kuhusu bima kwa kweli ninavofahamu huduma zinatofautiana na aina ya bima uliyokata.MFANO bima ya laki 1 sidhan kama itacover gharama za surgery ya milioni 8 but all in all itapunguza gharama.
 
Pole sana mamaangu,mungu Ndo muweza wa yoote,keep it up god z great,mama atapona bana.
 
Sijambo kabisa tunaendelea na hii swaumu walau leo unahesabu chungu cha kumi na saba.
.............. Uniambie namna ya kufanya ili nisipate kansa hii jamani,
huu ugonjwa nauogopa kama nini.................
Asante bibie kipenzi hujambo lakini Mamndenyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…