Kwa mujibu wa mdau anaesoma SUA, andai kuwa course ni nzuri kwa sababu haisumbui katika soko la ajira, darasani wako wachache, field hazisumbui kutafuta, kwanza automatically wanakuwa directed na chuo where to go..
Kama uko interested kusoma hiyo course, nenda kasome dada.
Halafu kuna course moja iko mzumbe inaitwa Bachelor of Health Systems Management (BHSM) ambapo qualification zake ni '' At least two principal level passes and one subsidiary level pass in A level. Where the principal do not include English; an applicant must have obtained a credit pass in English Language at O level.''
Kama kutakuwa na competition kubwa sana kwa food science hapo SUA, ni bora ukaangalia na hii course nyingine niliyokuwekea hapo!...
chagua course ambayo hautokuja kujutia katika maisha yako sister
ariana grande.