Nishaurini kuhusu ECA(Economics,Commerce,account ancy)

PATIENCE PB

Senior Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
163
Reaction score
37
Naombeni ushauri wenu,juu ya hii combination ya ECA,ikoje huko mbele,mi nimemaliza kidato cha 4 na ndio ninategemea kwenda kusoma
 
Kijana eca ipo vizur binafs nlihtmu hyo coz lakin inachangamoto nying sana ukiiona km simple ila ni ngumu uo uchumi ndo wa kukazia sana na hyo accnts solvng zwe za kutosha kijana ata commerce pia

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kijana eca ipo vizur binafs nlihtmu hyo coz lakin inachangamoto nying sana ukiiona km simple ila ni ngumu uo uchumi ndo wa kukazia sana na hyo accnts solvng zwe za kutosha kijana ata commerce pia

sent from my blackberry 8520 using jamiiforums

nashukuru ndugu angu
 
mimi nakushauri usome EGM. mimi ni mwalimu wa masomo ya biashara kinachowashinda wengi kwenye CPA uko mbel ni msingi mbovu wa mathematics. soma EGM achana na ECA then uende BCOMM Mlimani utakuja kunikumbuka.
 
Well, karibu sana ECA...!!!
its the right way, but kumbuka cvema kumshaur mtu kabla ya kujua matokeoye yako vipi,
Sasa tujue ulichokipata ktk
Book keeping
Commerce
Mathematics
Geography
Na ni somo lipi kati ya hayo kwako ni mteremko!!!!
Baada ya hapo naweza kukusaidia kwa ushair!!!
 
mimi nakushauri usome EGM. mimi ni mwalimu wa masomo ya biashara kinachowashinda wengi kwenye CPA uko mbel ni msingi mbovu wa mathematics. soma EGM achana na ECA then uende BCOMM Mlimani utakuja kunikumbuka.
wewe mkuu kijana kasha kwambia kwamba ana A ya hesabu.kama ana A ya hesabu basi akipiga BAM tu na kufaulu basi hana mpinzani yeyote kwa chuo kwa kozi za biashara.chuo kozi za biashara hesabu zake si kazi.ila kama umesoma BAM ya kuungaunga ndio utata.kwa dogo namshauri akasome ECA,maana kama atasoma hayo masomo hayatamsumbua,chuo atakuwa na msingi mzuri.nasoma na waliokuwa EGM account inawakimbiza sana na finance.so kijana akipiga ECA na akifaulu vizuri anaweza soma economics bachelor(ila hii anaweza soma EGM),ILA Kama ni BAF,BCOM,BscA&F BASI eca ndio mapango mzima,maana kuna kipindi wakifaulu ECA wengi basi wanawapa vipaumbele sana eca wanaosoma kozi za biashara kwa udsm na mzumbe.NOTE. KIJANA KAMA ANATAKA KUJASOMA chuo UCHUMI BASI EGM inakufaa na kwasababu unajua vizuri hesabu basi hata eca ni mpango hadi kwa uchumi na kote.
 
Binafsi nakushauri EGM...eca ni nzuri ila egm ni nziri zaidi hasa kwa future na kozi za chuo (maana mtu wa egm anafiti koz nyingi tofauti na wa eca) ...
ya nikweli.mtu wa ECA sua nazani hakumuhusu,.ila wa HGE NA EGM SUA PANAWAHUSU SANA.ILA KAMA NI KOZI NYINGINE ZA BIASHARA.ECA NDIO NYUMBANI
 
mimi nakushauri usome EGM. mimi ni mwalimu wa masomo ya biashara kinachowashinda wengi kwenye CPA uko mbel ni msingi mbovu wa mathematics. soma EGM achana na ECA then uende BCOMM Mlimani utakuja kunikumbuka.

ndio mwalimu nashukuru sana kwa ushaur wako ila ni kwamba naiogopa pure math japokuwa o level nimeifaulu vizur,then naona mapenz yangu yamebase sana kwenye com. na accounts,ila nashukuru kwa ushaur nitaufanyia kazi
 
COM B,B/K B,GEOG B,MATH A.ila somo mteremko kwangu ni b/keeping
 
ya nikweli.mtu wa ECA sua nazani hakumuhusu,.ila wa HGE NA EGM SUA PANAWAHUSU SANA.ILA KAMA NI KOZI NYINGINE ZA BIASHARA.ECA NDIO NYUMBANI

i never mentioned SUA in my thread, ila its fine kama umependelea SUA kama reference!!! SUA wana kozi inaitwa agribussiness naimani sana kama atafaulu vizuri (in case akichukua eca) basi atakua na nafasi nzuri tu....
NOTE. KIJANA KAMA ANATAKA KUJASOMA chuo UCHUMI BASI EGM inakufaa na kwasababu unajua vizuri hesabu basi hata eca ni mpango hadi kwa uchumi na kote.
na hii ndiyo sababu nasema kijana angechuku EGM, ni kozi gan mtu wa eca anasoma mtu aliyesoma hawezi soma?? anyway, uamuzi wa mwisho anao yeye na sisi ni kama washauri tu!!
 
ndio mwalimu nashukuru sana kwa ushaur wako ila ni kwamba naiogopa pure math japokuwa o level nimeifaulu vizur,then naona mapenz yangu yamebase sana kwenye com. na accounts,ila nashukuru kwa ushaur nitaufanyia kazi

mkuu kwanini unaogopa maths?

COM B,B/K B,GEOG B,MATH A.ila somo mteremko kwangu ni b/keeping
hapa ndipo wengi tunapokosea, tunaangalia mteremko wa sasa na kusahau mlima wa kesho!!
 
NASHUKURUNI SANA KWA KUwa nimepata ushaur wa pand zote mbili,am sure am gona make a right choice
 
mkuu kwanini unaogopa maths?

hapa ndipo wengi tunapokosea, tunaangalia mteremko wa sasa na kusahau mlima wa kesho!!

MATH NADHAN CNA MAPENZ NAYO SANA,THEN NIKISOMA eca NI VITU GANI MBELE NITAVIMISS?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…