Nishaurini kuhusu mpenzi wangu, ana tatizo la kuwa na maji mengi ukeni

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540

Huyo mchuchu wako ana Dawasco hapo kati?
 
Ni pm namba zake mie maji ndo ugonjwa wangu
Ww tafuta wakavu mie nipe huyo Wa kuchemsha
 
hahahhaaaaa,,, sometimes humu hamna msaada bro,,,, kamcheki JJ mwaka....
 
Nipe namba yake nimuulize vizuri na nimshauri.. njoo inbox
 
N kweli huwez kuishi kwa mabandiko ya JF lkn sometimes ushauri wa watu huwa unasaidia... tuache masihara....jamaa ana shida...tumshauri.....
wap Rubii....
 
Jaribu kufanya nae tour ya Dodoma af leta mrejesho kama maji yameendelea kuwepo
 
Nakatiza tuu, lakini namtamani huyo wa maji mengi!!
Samahani lakini
 
Mkuu mpeleke hospitalini tu. Humu hautapata suluhu. JF siku hiz imekuwa kijiwe cha kahawa. Mizaha mingi pamoja na kejeli
 
Wengi husababishwa na kuwa na maambukizi sehemu za siri bila ya kujijua kama yana harufu,kama hayana harufu ajaribu kuangalia ainaya vyakula anavyokula au kama kuna dawa za uzazi wa mpango anatumia huwa zinaleta hili tatizo pia.Mshauri akamwone dactari
 
Mkuu nipeni ushauri na c kunibeza
Yameanza hivi karibuni au toka mwanzo? Una muda gani nae? Kama ndivyo alivyo toka siku umekutana nae, vumilia tu na jifunze kuyapenda maana hakuna namna nyingine sasa.
 
Pia hizi tabia za kuosha na anti bacteria soapa wanua friendly bacteria , na vitu vingine, kuna wanaoweka mpaka asali eti kuleta utamu. Friendly bacteria ambao ndio wanaleta harufu ya papa ni wazuri ukiwaondoa wale unakaribisha matatizo mengi huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…