Nishaurini kuhusu youtube channel ya Habari zinazopatikana kidukuzi

Nishaurini kuhusu youtube channel ya Habari zinazopatikana kidukuzi

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Natarajia kuwa na YouTube Chanel itakayokua ni Chanel ya habari na uchambuzi wa habari.

Habari hizi nitakua nazitafuta mwenyewe kwa njia maalumu,

Mfano wa njia zangu za kupata habari ni pamoja na kurecord kwa njia ya siri, audio/video..ZA MATUKIO,

Na njia nyingine ni kununua habari kwa wanajamii ambao wataweza kurecord matukio mbalimbali kwenye jamii kwa siri.

Lengo langu kuielimisha jamii na kuwanyoosha wenye tabia mbaya ambao watarekodiwa kwa siri.

Na nitachambua habari na matukio hayo.

NB:
SURA ZA WATU NITAKAO WARECORD KWA SIRI SITAZIONYESHA WAZIWAZI LABDA INAPOBIDI.

USHAURI WAZOEFU IDEA YANGU INAMASHIKO MBELE YA JAMII?
 
Back
Top Bottom