Nishaurini mafuta mazuri kwa mke wangu

Bro nicheki kwa namba hiyo 0653482355/0759571114
Ili hapimwe ngozi na kupatiwa kitakacho faa uso wake na ngozi yake kwa ujumla
 
Leo naona hoja nyingi ni mafuta ya kulainisha ngozi. Hata waziri wa afya naye anayapiga marufuku. Kuna nini lakini?
 
Ngozi ni muimu sana kwa kila mmoja hasa ukiijali

Pia wadau tusipende kununua vitu vilali au kuchukua kitu bila kupima ngozi coz tutaalibu ngozi zetu.
Tunapima ngozi kwa 2000/- na kukupatia bizaa yako ya asili siyo ya kemikali
 
ATUMIE GRACE ZOAZOA
 
Ngozi ni muimu sana kwa kila mmoja hasa ukiijali

Pia wadau tusipende kununua vitu vilali au kuchukua kitu bila kupima ngozi coz tutaalibu ngozi zetu.
Tunapima ngozi kwa 2000/- na kukupatia bizaa yako ya asili siyo ya kemikali
Tutaalibu=Tutaaribu
Kupima ngozi unamaanosha nini? Kupima uzito au unene wa ngozi?
 
Virgin coconut oil ndio habari ya mujini
 
Kabla ya kupaka chochote. Kila siku usiku aoshe uso kwa limao na kujipaka hilo limao alale hadi asubihi aoshe uso asipake mafuta yoyote usoni kwani uso wake una mafuta mengi, ataanza kuwa soft chunusi zitapungua sana na baada ya wiki anaweza kupaka mafuta ya nazi mchana, usiku anapaka limao
 
Atumie liwa kutoka India kama face scrub ipo very soft na gentle kwa ngozi. Pia awe anatumia bidhaa za asili zisizo na kemikali. Mfano kuna african black soap nzuri sana kwa ngozi yenye mafuta. Kama anahitaji ushauri zaidi Whatsaap 0657170398
 
Picha
 
Picha yake tafadhali ili tuweze kumpa ushauri mzuri
 


Mwambie apake mafuta ya nazi, mimi ndio mafuta yangu miaka yote kichwani hadi miguuni



Au wewe unataka apodoke vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…