Tayari kila mtu na mpango wake ila anaongea upuuzi kuhusu mimi
we umeongea. Hebu njoo mikocheni nikugee buku la vocha.
Anakuzarau sana, na hapo hakuna TrueLove... chukua hatua kijana.
Dooh kuna watu slave of love....kwa bidii zote.
si umpotezee tu?
changanya na zako........
anakuja akiwa na shida tu!!!!!!!!!!! ina maana you are not there hadi anakuja wakati wa shida, pia uvumi wa picha za utupu ina maana huna uhakika, proove kwanza hili. kisha uje kwa ajili ya ushauri
Kumpenda kweli nampenda ila moyo wangu umeshka kutuIna maana tayari ushamuacha, haina haja wewe kuwa kivyako tu usisikilize maneno ya watu au upuuzi auongeao kuhusu wewe.
Ila hapo juu inaonekana km bado unampenda na ndio maana inakuuma!
Hujajijua tu kama wewe ni ATM?
hadi anapiga picha za utupu? Na zishasambaa? Utakanumbalaiziwa sasa hivi, lulu huyo.
Don't say, i didn't warn you.