Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

Unastahili kutandikwa makofi ya kelbu kwanza ujinga ukutoke...

Mwanaume mzima unalia lia na umesha ambiwa hupendwi?

Red flags umeonyeshwa kabisa ila unakaza fuvu tu?

Hivi uko vichwani mwenu mmejaza matope???
 
Achana naye, Waswahili wanamsemo wao" heri nusu shari kuliko shari kamili".

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Jibu rahisi na fupi, move on
 
Umetisha sana na hilo song lako la chinga boy

Namkubali sana huyo mwamba na nimeshapona yake
 
Inaitwaje hii nyimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…