mirymicaiah605 Senior Member Joined Apr 6, 2014 Posts 107 Reaction score 17 Aug 17, 2014 #1 WanaJF nishaurini niende kozi gani. Maana naona kila kozi watu wanadai hii utasota mtaani mbali na ualimu nshaurini ?
WanaJF nishaurini niende kozi gani. Maana naona kila kozi watu wanadai hii utasota mtaani mbali na ualimu nshaurini ?
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,047 Aug 17, 2014 #2 Umesoma Comb ipi na matokeo yako yakoje? Pia ulipendelea kusomea nini?