Habari wadau,
Nimetokea kuipenda hii gari TOYOTA COROLLA SPACIO X LIMITED SPECIAL PACKAGE 4WD ingawa ni model ya zaman kidogo lakini kibongobongo nazani litanifaa na nadhani spare zake zitaendelea kupatikana kwa miaka kadhaa ijayo. Bajeti yangu ni 12 M kilichonifanya nilipende ni kuwa,
Lina seat 7
Lina VVTI engine ambazo mafundi wengi wanajua namna ya kuzitengeneza
Ni 4WD ila nadhani ni fulltime. Eti hii hufanya gearbox ichoke haraka????????
Ni familia ya Toyota Corolla ambazo ni gari affordable kwangu maintenance wise.
Matumizi yangu hasa ni kutumia kwenda safari za ndani ya Dar na mara chache chache may be mara 4 kwa mwaka kwenda Tanga, Moshi na Arusha. Nimecheki TRA nikaona kodi yake ni around TZS 6,279,778.24. Ambalo nimeliona mtandaoni na kulipenda limetembea km 83,000. Je kwa hizi km litakuwa lipo poa???
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Nb. Nilifikiria kununu Toyota ISIS ila naona nyingi engine zake ni valve matic na VVTI D4 ambazo nadhan kibongobongo ni pasua kichwa.