#COVID19 Nishaurini wakuu chanjo yaniogopesha

Chanjo ni salama na wengi tumechoma na tunadunda kwa Sana. Umesikia Mtanzania gani kachoma àkapata madhara?
 
Chanja uwe huru, unaweza uka fake ukaenda huko ukapata korona ukafa ukarudishwa hapa maiti acha Uoga Chanja, Upunguze uwezekano wa kuugua Covid19.
 
Hii ndio sababu ya wasomi wa nchi hii wengi wao kuwa washirikina wapenda uchawi nawauamini kuliko hata elimu waliyoipata.
Ama kweli kuna tofauti kubwa ya kuelimika na kuwa na akili.
 
Mkuu usiwe na hofu nenda kachanje, kama kuna hila yoyote mbaya kuhusiana na hiyo chanjo haiwezi kukuathiri moja kwa moja kwa kuwa Mungu anayo namna ya kulinda watu wake regardless wamewekewa mtego gani......Mtume Paulo aling'atwa na nyoka, watu walipofikiri kwamba madhara au kifo kingemfika wakaona jamaa hana wasiwasi wowote, yeye ndo akawa anawashangaa kuona wanamkazia macho.
 
Sawa mkuu ni wazo yako,
PIA NIME YAPOKEA
Ukichanja ndiyo bas tena
Huwez danganya kuwa umepata chanjo mzee wana Scan isiposoma unarudishwa
Hakuna ujanja huku
Mimi nipo Denmark utaratibu ndiyo huo nimeshindwa kurud home sababu ni hiyo scanner huwez danganya nimegoma kuchanja bora nife huku huku tuu ila sichanji
 
Umenipa wazo jema,
JE WAKIskani zile bakodi zao na Q SCANNER?
itakuwaje??
Itakula kwako chagua kimoja kuchanja au kutochanja
Effect ya chanjo utaiona after 3-5yrs
Hizi nchi za Nordic huwez danganya mzee wapo makin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…