#COVID19 Nishaurini wakuu chanjo yaniogopesha

Mkuu jipe imani tu kwamba hiyo chanjo yao itabaki tu kuwa maji mwilini mwako, ili upate uhuru wako wa kurejea nyumbani.
 
Kipi unaigopa zaidi kati ya kuchoma chanjo ama kukosa elimu.
Chukua hatua.
 
nime ipenda hii mkuu ume nitia moyo sana
 
Duuh hii ni hatari
 
Wazee wa jf mimi nimechanja hii jj tangu May. Mimi ni miongoni mwa watu ambao hawajawaipata side effects za chanjo ya covid.

NB: Hapo kabla nilichanja hapatitis B, tetenus , Polio ,tezi dume, Manjano nk- hata hizi sikuwai pata side effects - nadhani mwili wangu ndivyo ulivyo.
 
Tafta nesi mpe 100k akujazie form kama umechanjwa upate cheti uendelee kufanya shughuli zako.

Ishauri mbovu kuwahi kutolewa na Great Thinker. Ilivyokuwa kwa sasa suala la Kupima na Kuchanjwa ni suala very sensitive, ukigushi pale Terminal 3 huwez kuvuka, utanaswa na kupoteza muda bure. Hawatanii kwenye issue za Uviko-19. Mashine zao watakuambia hii ni kipimo na taarifa fake na pia kama ni chanjo pia ni certificate fake. Na hilo likitokea, hawahangaiki tena na wewe wanakuambia pisha wengine wewe hukidhi vigezo.
Mdau fuata procedure sahihi huo ujanja ujanja hauna nafasi tena, take from my words.
 

Nimeshauri the same kabla sijauona huu uzi wako.Hata hapa Tanzania, issue iko very Strict. Halafu by the way, msomi mzima unakaa na kusikiliza porojo za mitaani kuliko chanjo. Ni ajabu sana, iamini sayansi ambayo inaweza kukuambia una Corona ama la, tofauti na ramli ambazo hata kutoa majibu tu kuwa una Corona haziwezi. Usiamini porojo.
 
Hii kitu huwezi danganya maana ina scan na inatambua yupi kachanja na yupi hajachanja.

Uamuzi ni wako mkuu Elimu na kutweza utu wako au Usichome na utajua sasa juu ya elimu itakuaje. Ila chanjo haina blah blah na longolongo mzee iko kwenye mifumo mahsusi
 
Kwa KWELI kama unaongia kwenye international affairs you have no option Kula chanjo mwanawane,achana na Gwajimaism! Ila mimi Nina hofu zaidi na story hizi kwa hizi attachments ,naona maelezo haya yamekiuka KATIBA yetu na JMT Iimetupiga teke





 
Yaani msomi wa Chuo kikuu Bado unamsikiliza Gwajima
 
Yaani msomi wa Chuo kikuu Bado unamsikiliza Gwajima
Simlaumu yeye, ni wahusika wa hizi taaluma walikubali kudanganya watu hapo kabla , sasa leo wanapobadilisha maneno watu wanapata wasiwasi.

Japo kwa usomi wake alitakiwa kujiridhisha mwenyewe kwa kupata habari zilizo sahihi juu ya covid na chanjo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…