Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Nishawai toka kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!!
View attachment 3243769Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja!!
Ama nilizingua?
BRAZA CHOGO
Nikifa MkeWangu Asiolewe Han Kyul
πKAMA MNAKUTA MNA NJAA MUWE MNAKULA KWANZA KABLA YA KUPOST
Mlikuwa mnaenda kwa miguu auNishawai toka kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!!
Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja!!
Ama nilizingua?
BRAZA CHOGO
Nikifa MkeWangu Asiolewe Han Kyul
Kwa baiskel mkuuMlikuwa mnaenda kwa miguu au
Hadithi za SukununuWhat's going on in here?
Tutasalimia siku nyingine πNishawai toka kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!!
Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja!!
Ama nilizingua?
BRAZA CHOGO
Nikifa MkeWangu Asiolewe Han Kyul
Kama kwa baiskel ni sahihi kwa sababu mmoja atakuwa anapata usumbufu kugeukageuka halafu inaweza kusababisha ajali.Kwa baiskel mkuu
πππ Acha roho mbaya!Siku moja nilikuwa kwenye hice naenda kazin akaja dada mmoja akakaa Siti ya pemben hakunisalimia gari ikaondoka njian konda akachukua vyake Yule dada akampa konda 5000 konda akamludishia 3000 mda wote huo alikuwa hajanisemesha chochote sasa alivyorudishwa hiyo chenji ndio akaniuliza nauli ya hice bei gan??!
Nikamjibu elfu Saba, sipendi ujinga Mm