Nishawai toka kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!!
Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja!!
Hapana ulikuwa sawa.Hawa huwa wanajiona wao ndo wana haki ya kuanzwa kwa kila kitu.
Mimi nilitoka kahama nilipofika Nzega akapanda hakunisalimia hadi arusha buyubuyu akinilalaia namsukuma.
Mimi nilikuwa naenda moshi