Nisher na saa yake fake kaumbuliwa

Nisher na saa yake fake kaumbuliwa

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Aisee haya maisha ya mastaz ni shida,mtu unavaa fake ili ionekane upo juu,sasa hii account ya Insta nadhani ya huko majuu,ilimwumbua jamaa mpaka akadelete account akaja na mpya.

Nisher.PNG
 
Kwan akivaa fake Kuna tatizo gani ,au alijibadi kama kawaida yao
 
Kwan akivaa fake Kuna tatizo gani ,au alijibadi kama kawaida yao

Hamna tatizo,ishu ni why kudanganya kujionyesha unavaa vya gharama wakati fake,kudanganya ili iweje
 
Sio nisher pekee anaefanya hivyo.

Wasanii karibu ya wote wapo feki au wanaazima sana.
 
you can fake it until you make it banaa..em watuachie chalii wetu wa ARAAA
 
ukisema fake tz ndo mahala pake adi midemu ya sikuizi fake tuu mi shkaji fakeee kila kitu fakeeeee tu
 
Hamna la kushangaza, mbona tuna mheshimiwa mtarajiwa ana rangi feki, sauti feki, makalio feki, hata kazi yake feki,...ila usimchezee mashabiki wake wanaweza kugeuza diwani awe mfalme!:A S wink:
 
Hamna la kushangaza, mbona tuna mheshimiwa mtarajiwa ana rangi feki, sauti feki, makalio feki, hata kazi yake feki,...ila usimchezee mashabiki wake wanaweza kugeuza diwani awe mfalme!:A S wink:

Kope feki,hips feki,sauti feki washabiki wake ni bendera fuata upepo kiwe kibaya au kizuri watashabikia.......pia mheshimiwa kazungukwa na mashoga na wauza mpapa wenzie
 
Back
Top Bottom