Nishikeni mkono wanaforums nipate kipato

Nishikeni mkono wanaforums nipate kipato

plus rien

New Member
Joined
Feb 17, 2025
Posts
1
Reaction score
1
Habari zenu wadau, niko mkoani nina familia ya watoto wawili, mpaka hapa sijajua kesho naamkia wapi, familia itakula nn. Sina hata ile inayoitwa mia sina mchongo wowote sina connection yoyote.
 
Back
Top Bottom