Hii ni pongezi na hongera kwa mama mkwe na babamkwe wako aliekuzalia mkeo na kumleta duniani huku ukiwa umepita majaribu mengi ya dunia na mwisho ujanja wote kuishia kwa mwanae.....nawapongeza wakwe wotee waliotuletea mamaJF"S mungu azidi kuwazidiishia kwa wale wanaoendelea na uzao mungu awaongezee wa kike mmaradufu na wote tuseme
AMINA
Ni WAKWE Masiki JeuriBiG UPPPPPPPPPPPPPPPP sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Hongereni sana wake zetu! :hug:
Mliopo hapa pia mtapokea kwa niaba ya walioko hukoooooooo na majumbani!