Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Si ndio hapo..mbona Nyangumi anakula dagaa uwono tuu na bado hakondiNisile kuku, nyama choma, chips eti nitanenepa, mbona tembo nyati na swala, nyani wanakula majani na bado wananenepa?
Wataalamu tusizoeane na tusifatiliaeneš¤£š«µ
Hatimaye watu wenye obesity na wenyewe wamekumbukwa.
Ndio nakula mkuu tusifatiliane kwenye haya maisha, tusiwe wa juaji ili hali wote wageni hapa dunianiWewe kula tu, ila hakuna anayekutisha eti usile hiki wala kile. Kuna wakati utafika (hatuombei), ukiambiwa hutakula hiki na kile ndio utaelewa vizuri.
Kwa sasa wewe kula tu.
Umenena mkuu
Kaka nakula sana chips ila sinenepi mkuuKula tukuitee kaka bongee
Matapeli wamekutapeli niniElimu ya lishe na mazoezi ni elimu muhimu sana kwa kila mwenye kujitakia kheri kwenye maisha yake......
Changamoto ni kwamba imevamiwa na wajasiliamali na matapeli wanaotumia ujinga wa WATANGANYIKA kujipatia kipato
š¤£š¤£š¤£š¤£š«µš«µš«µ"eti tanenepa"kutoka kwa model alexido