Nisipangiwe cha kupost..!! Nitapost ninachojisikia!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,120
Reaction score
24,667
Na mimi kuanzia leo sipangiwi kitu cha kupost humu maana simu ni yangu, bundle ni langu na hata wakati nanunua nilikwenda dukani mwenyewe na kuchagua aina ya simu mwenyewe. Sipangiwi!
Mimi ndio naamu hiki ni post jukwaa hili, kile kikae jukwaa lile, msiniingilie...
 
Kweli kabisa kuna watu wanapenda kuingilia privacy za mtu. Ukipost hichi wanaponda
 
sawa tu uzuri na mods wakiamua hawapangiwi wa kumpiga BAN hata wakiamua member wote tule ban tunakula tu!
lkn uzuri humu kuna taratibu na sheria zake
 
😀 😀 😀 😀 😀
Aiseeee nmecheka sana
Mku kwan wamekupangia
Cha kupost nn
 
Na wasihamishe post zako kwakuwa wewe ndio mjuvi wa kila jambo!
 
Post tu hata ukiamua upost matusi mwanzo mwisho na ningependa uanze na hili mana si unasema hupangiwi? Basi embu anza na matusi uyaelekezee kwa akina mods na wengine mwanzo mwisho
 
Ntafurahi kama mods wakatupiga ban members wote kwa masaa 24 ili tuisome namba kidogo
 
Anza kumtukuna magu tuone unachokisema kama ni kweli!!
 
Post ya kiakili sana hyo.
 
sawa tu uzuri na mods wakiamua hawapangiwi wa kumpiga BAN hata wakiamua member wote tule ban tunakula tu!
lkn uzuri humu kuna taratibu na sheria zake
Hata hii nchi inataratibu zake, ziheshimiwe hata na aliye juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…