Nisipogombezwa na mwanaume nahisi sipendwi

Huu muda wa kufanya yote haya mnapata wapi?
Mkuu ukiendekeza kujenga taifa huku mahusiano yanabomoka jitahidi kutenga muda kwaajili ya mambo yoye tafuta pesa lakini kumbuka kuwa kumdekeza mkeo nae ninjukumu lako baba. Watu tuna waume wako bize kuliko serikali na bado tunapata time ya kudekezwa jamani
 
Cute love sio ww tu. Kwa nyakati tofauti na wanawake tofauti nimeshawahi kuambiwa kiyu kama hiko. Nikashindwa kuelewa ni mafatizo ya omon au hisia? Maana kama mnapenda kupetiwa, kupendwa then inakuwaje mnavutiwa na vipigo?
Ndugu yangu, wasamehe dada zako hawajui wanataka nini[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Labda ru niwaambie tu dada zangu,ukitaka kujua hampendani kiukweli basi kipimo ni ukiona drama haziishi au bila drama maoenzi km yanapoa hivi naukitaka kujua mmeanza kupendana basi kila mtu anakinai drama,kila mtu anahisi ni upuuzi hapo ujue mnatoka kwenye illusions of love mnaingia kwenye true love sasa.
 
Aiseee. Poleni sana.
 
Mimi sipendi kugombezwa. Nikikosea niambie kistaarabu tu nitaelewa. Ila Yale ya kupandishiana sauti hapana. Kwanza sikupi hiyo nafasi.
Utafanyaje kumzuia...please sema tujue
 
Kuna watu huwa mnachokoza shetani kwa makusudi yaani hupigwi na bado unalalamika haki nakwambia ungepata wa kukupiga hadi unatoka manundu kama Madenge ndio ingekua Sawa.


Kuna mwenzako alikua anapigwa na mumewe hadi anakimbia nyumba yake kisha bwana anamfuata alikokimbilia na baada ya kuona bwana ake bado anataka kumfyatua mangumi, mwanamke bila kujali yupo sehemu ya wazi alikua anavua nguo jamaa anapitisha ndonga shughuli inafanyika yaani mapenzi hadharani kisha hasira za mwanaume zinaisha, ilifikia hatua wakapigwa mashtaka kwa kufanya mapenzi hadharani; je! Nawewe unapenda ujinga huo?
 
Asipokupa hela je? ???
 
Mie niko tofauti,asinigombeze aniite ndani tuonge kama nimekosea sioni tabu kuomba msamaha na ntajitahidi nifanye nnachoweza mpaka unisamehe ila sio kunubwatukia hivyo sipendi kabisaaa..
Vipi nikikuita ndani nikakugombezea huko? By the way kubwatuka na kugombeza sio kitu kimoja
 
Wakati nikiwa mdogo kuna jirani yetu alikuwa ni mlemavu wa miguu. Ikatokea siku anaongea na wenzako leo mwili waniwasha kweli. Hebu arudi baba naniii nimchokoze anidunde
Kuna wanandoa niliwahi kuishi nao jirani yaani Kuna wakati unaona kabisa mwanamke anatafuta kipigo. Halafu akishapigwa kesho yake utamsikia (na alikuwa anabwatukia uani tu kila mtu anasikia) dah baba Juma jana kanidunda kweli ila mimi mwenyewe nilimchokoza! Ni shida.
 
Mimi sipendi kugombezwa. Nikikosea niambie kistaarabu tu nitaelewa. Ila Yale ya kupandishiana sauti hapana. Kwanza sikupi hiyo nafasi.
Hahaha hujakutana na mtu anayejua kugomba na kutoa kichapo. Utatoa nafasi bila kupenda
 
naondoka. hasira zikiisha narudi. kwanza sikumbuki kuwa chanzo cha kugombana na mwanaume mpaka kufikia hatua ya kurushiana maneno.
Kuna watu mnachanganya habari. Huyu mleta mada ni ile aina ya wanawake ambao wakati unamsema yeye anakuwa katulia kwa adabu, yaani Kama mwanao vile. Sio kwamba anapenda kurushiana maneno
 

Ikiwezekana akupe na kipigo, ili ujue kua upendo umezidi kipimo...(wakurya)
 
Mapenzi hayana kanuni kama hizi wewe. Kinachofanya kazi kwako sio lazima kifanye kazi kwa mwingine.
 
Utakua umetokea kanda ya ziwa kule kwa wale wabunge wanaounga mkono juhudi za kuwapumbaza watz
 
Mie niko tofauti,asinigombeze aniite ndani tuonge kama nimekosea sioni tabu kuomba msamaha na ntajitahidi nifanye nnachoweza mpaka unisamehe ila sio kunubwatukia hivyo sipendi kabisaaa..
Exactly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…