Mh mjumbe hujawahi kuniangusha lakini uzembe umezidi siku hizi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Samahani wakuu.....
Kidogo nimechelewa kufika kwenye huu uzi.
Naomba kuwasilisha...[emoji30][emoji30][emoji30]
Picha is loading.....
Nikweli Mh mjumbe, ndio maana Naunga mkono hoja [emoji30][emoji30]Mh mjumbe hujawahi kuniangusha lakini uzembe umezidi siku hizi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtumishi wa bwanaNisipoingia JF siku nzima siumwi ila nahisi kama nimefanya kosa kubwa sana
Eeeh sijawahigi kununua bando kwa ajili ya JF ni mwendo wa kuperuzi bure tu watu tunapenda vitonga
Sent using Jamii Forums mobile app
Naaam
Ko???Nimepitia kila Mchango wa MDAU aliyechangia hapa kabla yangu mimi
Na wewe miongoni mwao niniKuna watu wakipigwa BAN anafungua ID nyingine fasta ili aendelee kuwepo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
aaaaah wapi sipo addicted kiivyo😎😎